Juu ya ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ni sehemu ya Andika Habari, ambayo inakuruhusu kwa urahisi kuchapisha taarifa mpya za shirika lako za habari, picha, na hati katika ukurasa wa Habari wa tovuti yako kwenye Envaya. – (image) – Kuandika taarifa ya habari, chapa habari ambayo ungependa kuichapisha katika boksi kubwa...(This translation refers to an older version of the source text.)