When you first register for Envaya, you are automatically logged in to your new account on Envaya. However, the next time you return to envaya.org, you will probably be "logged out", and will have to log in first before editing your website. – In order to edit your website, go to http://envaya.org in your web browser and click Log in, as shown below: – (image) – Then, type your... | Ukijiandikisha Envaya unaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako mpya. Lakini wakati mwingine unaweza kurudi envaya.org, huenda ukawa umefungiwa nje na unahitaji kuingia tena kuhariri tovuti yako. – Ili kuhariri tovuti yako, nenda http://envaya.org katika web browser yako na bonyeza Ingia, kama ilivyoonyeshwa hapa chini: – (image) – Kisha andika jina la mtumiaji la shirika lako na neno la... | Hariri |