Base (Swahili) | English |
---|---|
Licha ya kuwepo kwa Mkataba wa Haki za watu wenye Ulemavu; Idadi kubwa ya watu wenye ulemavu bado kundi kubwa la wahusika hawajafikiwa na taarifa sahihi juu ya uwepo wa Mkataba huo.
Hivi unafahamu kwamba kati ya shule 10 zilizofanya vibaya katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne 2010; shule tano kati ya hizo zimetoka Dodoma? Shule hizo ni Changaa, Kolo, Kikore, Hurui na Thawi. Haijalishi zinatoka Wilaya gani ila ni za Dodoma; Tufanye nini kuepuka aibu hii mwakani?
Haikuwa kazi ndogo kufika Changaa; hapa Power tiller inakoma. Ilitulazimu kushuka kwenye gani na kutembea kwa miguu ili kupunguza uzito kwenye gari.
Shule ya Sekondari Pahi ina Maabara ila hawajui Funguo ziliko? Unaweza usiamini ila hiyo ni hali halisi tuliyo ikuta kwenye Shule ya Sekondari ya Pahi iliyoko Wilayani Kondoa. Katika hali ya mshangao; walimu wote wa shule hiyo hawakuwa na funguo za Maabara hiyo licha ya kujinadi kuwa wana maabara inayotumika na wanafunzi wa shule hiyo. Dodoma bahari? Na. Fullgence Makundi Mkoa wa Dodoma ni Mkoa ulio katika orodha ya Mikoa ya nyanda kame ambayo hupata mvua zake kidogo sana kwa mwaka. Kutokana na hali hiyo ya hewa katika Mkoa wa Dodoma ndiyo maana wakulima wa Mkoa huu hulima mazao yanayo stahimili ukame kama karanga, mahindi, mtama, alizeti, ufuta mihogo na mazao mengine ambayo hayahitaji kiasi kikubwa cha mvua.
|
Despite the existence of the Convention on the Rights of People with Disabilities; A large number of people with disabilities still have a large group of characters reached with accurate information on the presence of the pact. Who do you know that out of 10 schools done badly in the test of National Form Four in 2010, five schools of which originate in Dodoma? The schools are myself, Kolo, Kore, Hurui and Thawi. No matter what, but it comes from the District of Dodoma: What can we do this year to avoid embarrassment?
It was not limited to myself, here marks the end of Power tiller. Ilitulazimu down on how to walk on foot to reduce the weight of the car.
Pahi School has laboratory but do not know ziliko Keys? You may not believe but it is reality that we find in the School District Pahi ambient Kondoa. In a surprise, all the school teachers do not have mental Laboratory despite expediency that are used in laboratories and students at the school. Dodoma sea? And. Fullgence Groups Dodoma Region is a region in the list of regions of the arid plains which derives its very little rainfall per year. Due to the situation of air in Dodoma Region for this region farmers grow crops which suffer drought as peanuts, corn, sorghum, sunflower, sesame cassava and other crops that do not require large amounts of rain. |
Translation History
|