Fungua

/AACP/post/67515: Kiswahili

AsiliKiswahili
Huwa nafurah kuona juhudi za kijana mwenzangu znapofanikiwa(Bila tafsiri)Hariri
Waooh, niwapongeza sana AGAPE na uwongozi mzima kwa kuweza kuthubutu na kufanya kwa ajili ya kusaidia vijana kwa kuwapa ujuzi ambao utawasaidia kuweza kuwapa kitu cha kufanya badala ya kushinda vijiweni na kujiingiza katika makundi maovi safi sana na endeleeni kufanya kazi hii kwa ubora zaidi na Mungu awabariki.(Bila tafsiri)Hariri
Nimeupenda mradi huo hasa juu ya mobile carts vending chips, hata mwanza kuna haja ya kuanzisha hii ni nzuri sana sana.(Bila tafsiri)Hariri
kama mtapata wasaa naomba mtutumie hata picha.(Bila tafsiri)Hariri
That is very nice because it help many youngs in their daily life and i wish to work in that organization so that i may participate in different development activities.(Bila tafsiri)Hariri
mmefanja jambo zuli kuwasaidia vijana hasa kwa shughuli inayowezekana na isiyohitaji mtaji mkubwa(Bila tafsiri)Hariri
TAARIFA ZA MRADI WA KUWASAIDIA VIJANA WAUZA CHIPS KUPATA STADI ZA BIASHARA NA KUTENGENEZA MATOROLI YA CHIPS ZINAZOTEMBEA (MOBILE CARTS VENDING CHIPS PROJECT) – Mradi huu ulikuwa unatekelezwa na Shirika la Agape AIDS Control Programme na ulikuwa unafadhiliwa na Shirika la Kazi Duniani (International Labour Organizatio-ILO) Kupitia Foundation For Civil Society (FCS). Lengo kuu la Mradi huu lilikuwa ni...(Bila tafsiri)Hariri
Add a commentOngeza maoniHariri
Your email:Email yako:Hariri
Your email address will not be published.Anwani yako ya email haitachapishwa.Hariri
Your location:Mahali ulipo:Hariri
%s said:%s alisema:Hariri
(optional)(sio lazima)Hariri
Publish commentChapisha maoniHariri
CommentsMaoniHariri