Fungua

/keca/topic/22990: Kiswahili: dM000D93932CE92000040477:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

@John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera): NA LEOKADIA KADUMA (NJOMBE JITEGEMEE WOMEN GROUP) NI VEMA KUFAHAMU KUWA MABADILIKO YA NCHI SEHEMU KUBWA YANALETWA NA UHALIBIFU WA MAZINGIRA MFANO UKAME JOTO NA MARADHI NK. NA HII NDIYO HALI ILIYOPO SASA KATIKA TANZANIA. INATUPSA TUCHUKUE TAHADHALI MAPEMA ILI KUKABILIANA NA HALI HII YA MABAHILIKO YA NCHI. KWA HIYO NACHUKUWA NAFASI HII KULIPONGEZA SHIRIKA HILI KWA KAZI KUBWA WANAYOFANYA YA UPANDAJI WA MITI KWANI NI NJIA PEKEE YA KUHIFADHI MAZINGIRA. NA NASHAURI HATA MASHIRIA MENGINE KUIGA MFANO HUU. KWANI SOTE TUNAFAHAMU FAIDA YA MITI KUWA NI DAWA,KUNI,TUNAJENGEA,INALETA HEWA SAFI,MVUA N.K

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe