Envaya
/emnet/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – MEO's listen tentatively during the meeting with stakeholders during the meeting on illigal fishing
(image) – MEO ya kusikiliza tentatively wakati wa mkutano na wadau wakati wa mkutano juu ya uvuvi illigal
Hariri
(image) – Samwel Ntapanta EMNet Coordinator explains something during the meeting
(image) – Samwel Ntapanta EMNet Mratibu anaelezea jambo wakati wa mkutano
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Meeting with fishery stakeholders at Somangira,kigamboni
(image) – Kukutana na wadau wa uvuvi katika Somangira, Kigamboni
Hariri
(image) – MS Secelela Balisidya Board Chairperson of EMNet explains something during the meeting with Environment Jouranalists
(image) – MS Secelela Balisidya Mwenyekiti wa Bodi ya EMNet anaelezea jambo wakati wa mkutano na Jouranalists Mazingira
Hariri
Mtandao wa wanahabari wa Mazingira unaojulikana kwa jina la Environment Media Network-EMNet,unashiriki katika utekelezaji wa mradi wa Hifadhi Mapafu ya Dar es salaam(HIMADA). – Mradi huu unaratibiwa na chama cha Uhifadhi Maliasili Tanzania kwa lugha ya kigeni chama hiko kinajulikana kwa jina la Wildlife Conservation society of Tanzania (WCST) Chini ya ufadhiri wa ubalozi wa Norway hapa nchini. – Pamoja na mradi huu wa HIMADA kuratibiwa na WCST pia katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Arusha,wakiwa katika moja ya mafunzo kwa waandishi wa habari za mazingira.mafunzo hayo yaliandaliwa na EMNet kwa ufadhiri wa WWF-TCO.
(Bila tafsiri)
Hariri
EMNet Yatoa mafunzo kwa Waandishi wa habari za Mazingira. – Mtandao wa wanahabari wa mazingira EMNet,hivi karibuni umetoa mafunzo kwa baadhi ya waandishi wa habari za mazingira hapa nchini. – Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mtandao huo wa wanahabari (Environment Media Network)chini ya ufadhiri wa WWF kupitia programu yake ya CSOP.Program hii ya CSOP hivi sasa imeshamaliza muda wake.Mafunzo hayo yaliwapa fulsa waandishi wa habari za mazingira katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Pichani ni Waandishi wa Habari za Mazingira mkoani Arusha,wakiwa katika moja ya mafunzo yaliyotolewa na mtandao wa wanahabari wa mazingira (EMNet)kwa waandishi wa Habari za Mazingira mkoani Arusha hivi karibuni.
(Bila tafsiri)
Hariri