Envaya

/LINGONET/topic/23166/add_message: English

BaseEnglish
asasi za kiraia ni tegemeo la jamii katika kuhamasisha na kusimamia miradi ya maendeleo katika kupeleka mbele ufanisi wa miradi kwenye maeneo yetu je tathmini na chukua hatua nini umefanya katika kipindi cha miezi sita mwaka huu kuelekea bajeti mpya ambayo inakuja katika halmashauri zetu?civil society is the expectation of society in promoting and managing development projects in the carry forward projects on the effectiveness of our sites have taken steps to review what has been done in the past six months this year toward a new budget that comes in our council?Edit
posho,posho.posho ni alama kwamba sasa tuko katika karne ya posho na ukiigusa hiyo ujue utagombana na wengi.najua hata zito hana nia ya kuacha posho lakini nia yake kuonesha namna gani viongozi wetu roho zao zipo hapo ndio maana akaigusa na kweli amefanikiwa kwani mafisadi wote wameng"aka kwa kuogopa kupokonywa kula.posho kubwa kuliko kima cha chini cha mshahara ndio mbio zote za mwezi october mlikuwa mnakimbilia hapo!!!allowance, posho.posho marks that are present in the allowance century and touched that you know will fight and even heavy wengi.najua no intention of stopping his allowance but intended to show how our leaders are the souls that is why he touched it and it was successful for mischief All wameng "aka the fear of expropriation kula.posho larger than the minimum wage are all running in October were you running there!Edit
kila kundi likidai uwakilishi patakua apatoshi lengo ni kuwepo na sheria za wazi zenye kutambulika na kama kiongozi akienda kinyme na sheria aweze kuadhibiwa kwa mfano kiongozi akiadi kuwa atajenga shule asame kwa mda gani na kwa bajeti hipi na kama akishidwa basi tumuadhibu kwa sheria hipi.kila siku tunalilia uwakilishi hao wanaotuakilisha wanatoka huku wananjaa wakila tu matulia bado tutakuwa atujapata ufumbuzi sheria hikiwa juu na uongozi na mavazi ya watu yakiwa...each group claiming representation scratch apatoshi goal is to present the rules of open most recognized and as the leader going into kinyme the law could be punished by example leader adi that will build schools asame for how long and with a budget hipi and if he shidwa then tumuadhibu law hipi.kila day we are crying out for representation they are tuakilisha are out here are hungry, eat just settling still will be atujapata solution laws hikiwa on leadership and...Edit
Kwa kweli AZAKi zinahitaji kuwa na uwakilishi katika udiwani na ubunge.Hii itasaidia kusukuma mbele mjadala wa maendeleo na kushiriki katika maamuzi mbalimbali ya maendeleoIn fact CSOs need to have representation in the council and ubunge.Hii will help push forward the development debate and to participate in a variety of development decisionsEdit
Pension jamii ni utaratibu endelevu wa kuwapatia wazee wote fedha tasilimu bila kuchangia,hii inaweza kufanyika kila baada ya muda uliokubaliwa,mfano kila mwezi au robo mwaka, mara nyingi fedha hizi hutolewa na serikali, kwa tafasili pana ni hatua au tendo la serikali au jamii kutoa usaidizi wa moja kwa moja kwa watu kuwawezesha kukabiliana na Majanga,hali ya kutojiweza na umasikini.HelpAge International ikishirikiana na NABROHO SOCIETY FOR THE AGED ya Mkoa wa Mwanza...Pension category is the process of providing the elderly all cash tasilimu without contributing, this can be done after every time agreed, eg monthly or quarterly basis, often these funds are provided by the government, for tafasili there is a step or act of government or society to provide direct assistance to enable people to cope with the tragedy, the state of incapacity and in collaboration with International umasikini.HelpAge NABROHO SOCIETY FOR THE Mwanza Regional...Edit
Nimeweza kutoa mapendekezo ya halimashauri kuwa na mifuko maalumu kwa watoto yatima,watoto waishio katika mazingira hatarishi na wajane ili ziweze kuwasaidia katika elimu afya na kuanzisha miradi endelevuManaged to make recommendations to the limashauri have special funds for orphans, children living in vulnerable widows so that they can help in health education and to establish sustainable projectsEdit
Wananchi tunasikia mjadala juu ya hoja ya kukatwa posho za vikao vya wabunge na pesa kuhamishiwa katika masuala mengine ya maendeleo. Kundi la watawala wanatetea posho hizi zisiguswe. Maudhui makubwa ni kwamba KUNDI LA WATU WACHACHE WENYE DHAMANA YA KUONGOZA wanafikiria zaidi namna ya kujinufaisha na kujilimbikizia mali huku wakiacha kundi kubwa wanaloliongoza likiendelea kuzama katika lindi la umaskini. Hawa ndio wabunge tulionao na Spika wetu. ...The people we heard the debate on the motion to cut allowances and parliamentary sessions the money transferred into other aspects of development. Group will not defend these allowances zisiguswe. The content is great that a group of few people in charge of leading think more how to take advantage and concentrated wealth while leaving a large group loliongoza persists sink into the depths of poverty. These are the legislators we have with our Speaker. ...Edit
NDUGU ZANGU WANAHARAKATI NAOMBA TUJADILI KWA PAMOJA UWEZEKANO WA KUINGIZA WAWAKILISHI WETU KATIKA MABARAZA YA MADIWANI NAMAANISHA KUWA NI VEMA NA NI HAKI YETU KUWA NA DIWANI KUTOKA KUNDI LA AZAKI KATIKA KILA HALMASHAULI,MBONA MBUNGE WA NGO YUPO INGAWA UWAKILISHI WAKE NI BANDIA NAYE TUANZE KUMJADILI MAPEMA,ILIFIKAPO UCHAGUZI UJAO TUSIWE WEKWEW TENA CHANGA LA MACHO NA ANNA ABDALAH ,NATUKIZUNGUMZA JUU YA BAJETI WAKATI HATUNA WAWAKILISHI KATIKA VIKAO VYA KUTOA MAAMUZI...I ask my brothers Activists TUJADILI FOR INCLUDING THE POSSIBILITY Enter our representatives in the House of councilors is well I mean THAT AND THAT IS OUR RIGHT TO COUNCILLOR FROM EACH GROUP OF CIVIL SOCIETY IN HALMASHAULI, MP WHY IS THE NGO although its representatives are artificial TUANZE KUMJADILI HIM SOON, Not WEKWEW ILIFIKAPO next election AGAIN FOR YOUNG EYES AND Anna Abdallah, NATUKIZUNGUMZA ON THE BUDGET DURING THE MEETINGS OF REPRESENTATION We do not decide...Edit
kuhamasisha jamiimobilizing communityEdit