Envaya

/TEYODEN/news: English: WI000BB1F1611CC000011269:content

Base (Swahili) English

TEYODEN YAZINDUA MAJUKWAA 12 YA VIJANA KATIKA KATA ZA SANDALI,TANDIKA,YOMBO VITUKA,AZIMIO,MAKANGARAWE,MJIMWEMA,KIBADA

CHARAMBE,KIMBIJI,SOMANGILANA CHANG'OMBE ZOTE ZA MANISPAA YA TEMEKE.

TEYODEN imezindua majukwaa ya vijana katika kata 12 zilizotajwa hapo juu kama hatua ya kwanza ya robo ya pili ya mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii na maendeleo Manispaa ya Temeke.katika midahalo hii wastani wa vijana 123 walifikiwa katika kata zote 12 za mradi.Lengo hasa la uzinduzi wa majukwaa haya ya vijana ni kuwezesha vijana katika kata za mradi ni kuwa na maeneo na nafasi huru za kujadili masuala mbalimbali ikiwemo uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wao katika masuala muhimu.Lakini pia kupata nafasi ya kujadili changamoto za maisha na jinsi ya kukabilina na changamoto hizo.

Mafanikio yaliyopatikana katika shughuli hii ni pamoja na kupokelewa vizuri na watendaji wa kata hizi lakini vijana waliyapokea majukwaa haya kwa moyo mmoja kama vile walikuwa wanayasubili kwa kipindi kirefu.Vijana katika siku moja ya uzinduzi huu walipata nafasi ya kujadili dhana nzima ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji.

Vijana katika baada ya uzinduzi walikubaliana kufanya vikao vya majukwaa haya mara 4 kwa mwezi huku wengi wakipendekeza siku za mwisho wa wiki kuwa ni nzuri zaidi kwa vikao

Watendaji wa kata katika kata 12 za mradi walikubali kutoa kumbi za ofisi za kata ili zitumike kwa shughuli hizo za vikao vya jukwaa na kuwataka vijana wengi kushiriki.

TEYODEN YAZINDUA YOUTH FORUM 12 wards Sandali, saddled, we kind of tree, PLAN, MAKANGARAWE, MJIMWEMA, Bada

CHARAMBE, KIMBIJI, Chang'ombe SOMANGILA AND ALL OF Temeke Municipality.

TEYODEN has launched platforms for young people in 12 wards mentioned above as the first step of the second quarter of the project to add a sense of accountability, participation and involvement of youth in social activities and progress of this debate Temeke.katika Municipal approximately 123 youth were reached in all 12 wards of mradi.Lengo especially the launch of these platforms is enabling young teens in the county of the project is to be independent of locations and opportunities to discuss various issues including accountability, participation and their involvement in issues muhimu.Lakini also get a chance discuss the challenges of life and how these challenges kukabilina.

Gains in activity include the receipt of properly and administrators of the county are but young people attend these platforms with one heart as they were yasubili over kirefu.Vijana in one day to launch this month got a chance to discuss the whole concept of accountability, participation and inclusion .

Young people in after they agreed to launch these platforms sessions 4 times a month with many suggested last days of the week that is better for the forums

County officials in the county 12 were admitted to the project halls of the county office to be used for such activities from the forum sessions and urged young people to participate.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
April 17, 2011
(document) TEYODEN YAZINDUA YOUTH FORUM 12 wards Sandali, saddled, we kind of tree, PLAN, MAKANGARAWE, MJIMWEMA, Bada – CHARAMBE, KIMBIJI, Chang'ombe SOMANGILA AND ALL OF Temeke Municipality. – TEYODEN has launched platforms for young people in...