Envaya

/ucpg/news: English

BaseEnglish
UCPG ijumaa tarehe 18.Nov watakua na mapambano la wazi la ngoma kati yao na kikosi cha NVRF katika uwanja wa wazi wa Mabibo mpakani wadau wote njooni mjionee.By Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpgUCPG 18.Nov on Friday will be open warfare between them and the dance band of VRF in the open field of border stakeholders come Mabibo mjionee.By Mwanaisha Yahya-Secretary-ucpg MweneziEdit
Tunaendelea na mazoezi msione.(Not translated)Edit
Leo tunaendelea na mazoezi katika ukumbi wa ccm mchikichini.Karibuni mje kuona Mwanaisha Yahya-Katibu Mwenezi-ucpgToday we continue with the exercises in the hall and come see ccm mchikichini.Karibuni Mwanaisha Yahya-Secretary-ucpg MweneziEdit
Ucpg tunaendelea na mazoezi baada ya maonyesho ya wazi viwanja vya Ilala garden na mabibo.Wadau tegemeeni mambo mapya kutoka kwetu(Not translated)Edit
Usambara cultural Promotion Group-ucpg.Tunategemea kufanya tamasha la wazi la ngoma siku ya jmos 12.11.2011 katika viwanja vya Garden Ilala bungoni kuanzia saa 12 jioni wadau wote mnakaribishwa. Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpgUsambara Promotion Group-ucpg.Tunategemea cultural festival open to the dance on 12.11.2011 in the Grounds jmos Garden Ilala bungoni starting at 12 pm All stakeholders are welcome. One who distributes Mwanaisha Yahya-secretary-ucpgEdit
Katibu wa Ucpg ndugu Isaka Kiangio leo amepokea cd yenye nyimbo mpya za baikoko,mdumange,tukulanga ambazo maudhui yake ni kupinga mila potofu na miaka 50 ya uhuru by:Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpgSecretary of brothers Isaac Ucpg role today has received the new cd with songs baikoko, mdumange, tukulanga that its content is against the traditional practices and 50 years of independence by: Mwanaisha Yahya-secretary-one who distributes ucpgEdit
Leo ucpg wapo kwenye viwanja vya Garden Ilala kufanya onyesho la wazi kuanzia saa 10 jioni hadi 6 usiku.Pia kitakuwepo kikundi cha Baikoko,Wote mnakaribishwaLeo ucpg are on the grounds of the Garden Ilala performed in the open from 10 pm to 6 hours not ku.Pia Baikoko there will be a group, all are welcomeEdit