Envaya

/teyoden/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Kwa habari na taarifa kuhusu wilaya ya Temeke kama vile idadi ya watu kata na mgawanyo wa rasilimali na mengine mengi unaweza kutembelea website hapo chini ili kupata habari za kina na majibu ya maswali unayotaka kuyapatia majibu. – http://sw.wikipedia.org/wiki/Wilaya_ya_Temeke(Bila tafsiri)Hariri
TEYODEN YAFANYA MAFUNZO REJEA KWA MENTORS MRADI WA KUJENGA UWEZO WA KINAMAMA WADOGO WALIOSAHAULIKA. – TEYODEN imefanya mafunzo rejea ya siku 3 kwa mentors(walimu wa wasichana) 16 kutoka kata za Azimio,Kibada,Vijibweni na Mtoni.Mentors hawa hapo awali walipatiwa mafunzo ya satdi za maisha,elimu ya ujasiriamali na mafunzo ya uwezeshaji ili waweze kuwa walimu,waangalizi lakini kama walezi kwa wasichana 80 katika kata 4 za mradi kama zilizokwisha taja hapo juu. – katika...(Bila tafsiri)Hariri
Apply to the YouthActionNet Global Fellowship Program! – Launched in 2001 by the International Youth Foundation, YouthActionNet strengthens, supports, and celebrates the role of young people in leading positive change in their communities. Each year, 20 exceptional young social entrepreneurs are selected as YouthActionNet Global Fellows following a competitive application process. The year-long Fellowship program includes: ...Yanahusu Programu YouthActionNet Global Fellowship! – Ilizinduliwa mwaka 2001 na International Youth Foundation, YouthActionNet nguvu, mkono, na wanasherehekea jukumu la vijana katika mabadiliko ya kuongoza chanya katika jamii zao. Kila mwaka, 20 kipekee vijana wajasiriamali kijamii ni kuchaguliwa kama Fellows YouthActionNet Global kufuatia mchakato ushindani maombi. mwaka mzima Fellowship mpango ni pamoja na: ...Hariri
VIJANA WATOA MAONI JUU YA UBORESHAJI WA SHUGHULI ZA VIJANA HASA UJASIRIAMALI. – Masuala ya msingi yaliyozungumziwa. – -Nini vikwazo vya wajasiriamali vijana wa Temeke? – -Tutawafundishaje vijana jinsi ya kuweka mafunzo wanayopata kwenye...(Bila tafsiri)Hariri
Donation(Bila tafsiri)Hariri
WAWAKILISHI 6 WA TEYODEN WAFANYA TATHMINI JIJINI ARUSHA NA WENZAO KUTOKA NEWALA,MAGU,HAI ARUSHA MJINI NA MWANZA MJINI KUMALIZA HATUA YA KWANZA MRADI WA WASICHANA WALIO PEMBEZONI. – (image) – Katibu mtendaji wa TEYODEN akiwa na wawakilishi wengine 5 wakifanya mjadala wa pamoja juu ya shughuli zilizofanyika,mafanikio,changamoto na mapendekezo katika mradi wa mabinti walio...(Bila tafsiri)Hariri
TAARIFA YA KIKAO NA MAAZIMIO YALIYOFIKIWA KATI YA POVERTY FIGHTING TANZANIA NA TEYODEN – TAREHE: 02/10/2012. – LENGO LA KIKAO:KUJADILI NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA KUPUNGUZA UMASIKINI WA KIPATO KWA VIJANA KUPITIA MPANGO WA VICOBA KATIKA MANISPAA YA TEMEKE. – MAHALI KIKAO...(Bila tafsiri)Hariri
VIJANA (MDAHALO WA VIJANA)WATOA MAPENDEKEZO YA KUBORESHA SHUGHULI ZA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE. – Vijana kutoka wastani wa kata 10 walikutana katika kikao cha vijana katika ofisi ya Mtandao wa vijana manispaa ya Temeke kujadili namna ya kuendeleza shughuli ya mijadala ya vijana ambayo hufanywa 2 kila mwezi ili vijana kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya masuala yanayohusu vijana. – Katika kikao tarehe hicho cha...(Bila tafsiri)Hariri
TEYODEN YATOA MILINI SITA(6) KUSAIDIA VIKUNDI VYA WASICHANA WALIOJIFUNGUA KATIKA UMRI MDOGO. – Wasichana waliojifungua katika umri mdogo sasa wamepata fursa ya aina yake baada ya kukabidhiwa cheki zenye thamani ya milioni 2 kwa kila kikundi. – Akikabidhi cheki hizo mkuu wa wilaya ya Temeke katika ukumbi wa Amka youth...(Bila tafsiri)Hariri
PROGRAMU YA YOUTH INFORMATION CENTRE YAJA TANZANIA,DAR-ES-SALAAM IKIWA SEHEMU YA MAJARIBIO. – Wizara ya habari,utamaduni,vijana na michezo imepokea na kukubali mpango wa taarifa na habari kwa vijana utakaojulikana kama Youth information Centre.Mpango huu uliasisiwa ama kupendekezwa na bi Joyce Shahidi mkurugenzi msaafu wa Idara ya vijana ya wizara hiyo kwa alipokuwa kwenye kikao cha wadau...(Bila tafsiri)Hariri
MRADI WA MABINTI WALIOPEMBEZONI WATEMBELEWA NA MGENI KUTOKA MADAGASKA. – Mgeni wa kutoka Nchini Madagaska, Bi. Marium Toure ambaye ni Ofisa kutoka UNICEF Madagaska ametembelea mabinti ambao ni walengwa wa mradi wa kujenga uwezo wa mabinti waliozaa katika umri mdogo na kutulekezwa na wenzi/familia zao. – Mradi huu unatekelezwa katika kata 4 za Manispaa ye Temeke, kwa ushirikiano kati ya TEYODEN watekelezaji,TAMASHA wasimamizi na...(Bila tafsiri)Hariri