| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
@LEOKADIA KADUMA (NOMBE REGIONAL TANZANIA): Leocadia, nshukuru kwa ujumbe mzuri kwa jamii. Uharibifu wa mazingira mchawi wake ni binadamu mwenyewe. Shughuri za kila siku za mwanadamu kwa sehemu kubwa zimekuwa mwiba kwa mazingira. Inahitajika elimu ya kutosha toka kwangu, kwako na kwake ili kuokoa si tu Tanzania ila dunia kwa ujumla wake. Nakupongeza kwa kuliona hilo, wewe na shirika lako kuweni mbele katika kutoa elimu ya mazingira na matunda yake mtayaona |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe