Envaya

/HUCADE/news: English

BaseEnglish
(image) – Binti Sandra Omari ni yatima akifurahia zawadi aliyopata kabla hata ya kuifungua(image) – Omari is the orphaned daughter Sandra was happy with the gift he received prior to the openEdit
(image) – Kijana Gabriel wamezaliwa mapacha na mwenzake ambaye ni mzima kabisa bali yeye anakabiliwa no ongezeko la maji katika kichwa na anahitaji kufanyiwa operation.(image) – Gabriel Young born twins and another who is healed, but he faces no increase of water in the head and needs to undergo operation.Edit
(image) – Mazoezi ni sehemu ya mafunzo na afya kwa kuwajenga kimwili na kiakili. Watoto wa HUCADE wakiwa uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya viungo(image) – Exercise is part of the training and health to build them physically and mentally. Children of HUCADE in the field for physical activityEdit
(image) – Watoto yatima wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kanisa la KKKKT usharika wa Ilboru mtaa wa Tumaini.(image) – Children orphaned in the picture with the leaders of the church's congregation Ilboru KKKKT Hope Street.Edit
The Huruma Care Development (HUCADE) is a small NGO registered in the Country of Tanzania with No 00002456 under Non-Governmental Organization Act, 2002, founded on 2008 at ARUSHA with now 11 Orphans and 86 others are in the Community. The aim of HUCADE is to provide Mercy & Social Development programmers and project in all the Arusha Region especially at Pastoral areas. – For now we have already hire house for the center at...(Not translated)Edit
(image) – watoto wa HUCADE wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawiwa zawadi(image) – HUCADE children in the picture together after the granting of prizesEdit
(image) – Hili ni mwonekano wa jengo la kituo cha watoto cha HUCADE kwa upande wa mbele(image) – This is the appearance of the building of a children's center to the front HUCADEEdit
(image) – Huyu ni kilema wa macho ambaye nyumba yake ilianguka kutokana na mvua nyingi na kupata msaada wa hifadhi katika kituo chetu hadi sasa kwani ameshindwa kabisa kujenga nyumba na pia ana watoto watatu ambapo mmoja kituo kinamsomesha(image) – This is a defect of the eye, whose house collapsed due to heavy rains and conservation assistance in so far as our station has completely failed to build a house and also has three children where one station kinamsomeshaEdit
(image) – Watoto wakiwa wamepumzika baada ya mazoezi(image) – Children being rested after exerciseEdit
(image) – Watoto wakiwa pamoja na mwalimu na mkurugenzi wao wa HUCADE katika jengo la darasa ambalo halijakamilika(image) – Children, together with their teacher and director in building HUCADE class which is not yet completeEdit