Envaya

/teyoden/news: English

BaseEnglish
(image)(Not translated)Edit
TEYODEN yakamilisha shughuli ya ufuatiliaji wa shughuli za vijana katika vituo 7 vya vijana kati ya vituo 12 vya mradi manispaa ya Temeke. – UTANGULIZI ...TEYODEN accomplish the monitoring activities of youth activities in youth centers seven of 12 stations Temeke municipal project. – INTRODUCTION ...Edit
(image) – TEYODEN yashiriki kwenye mkutano wa wadau Morogoro – Hivi karibuni ulifanyika mkutano wa awadu nwa maendeleo ya vijana pale mjini Morogor wakiupitia mkataba wa vijana wa Afrika na mkakati wa ushiriki na ushikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii. – Katika mkutano huo jumla ya washiriki 30 kutoka asasi za vijana na wawakilishi kutoka wizara za maendeleo ya jamii,jinsia na watto,wizara ya kilimo na wizara...(image) – TEYODEN meeting of stakeholders to participate in Morogoro – You recently held a meeting of awadu drink in youth development when they undergone Morogor agreement with African youth strategy and ushikishwaji participation of youth in social activities. – During the conference a total of 30 participants from youth organizations and representatives from the ministries of social development, gender and watto, the...Edit
TEYODEN yafanya ufuatiliaji katika vituo vya vijana vya kata,zoezi linalokamilisha robo ya kwanza ya mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika shughuli – kijamii na maendeleo manispaa ya Temeke.TEYODEN doing surveillance in youth centers with the county, exercise linalokamilisha first quarter of the project to add a sense of responsibility in youth activities – social and municipal development Temeke.Edit
TEYODEN yaendesha mafunzo ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 – Katika kutekeleza mradi wa ukuongeza ari kwa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii,TEYODEN inaendesha mafunzo ya siku sita kwa vijana wawakilishi kutoka kata 12 za mradi huu ambao umefadhiliwa na The Foundation for Civil Society wenye thamani ya shilingi miliono 35 na mradi huo utakuwa na shughuli takribani...TEYODEN budget for life skills training and youth policy development 2007 – In implementing the project I will multiply dedicated to the youth in participation and involvement of youth in social activities, TEYODEN conducts training six days of youth representatives from the county 12 project which is funded by The Foundation for Civil Society with the exchange rate miliono 35 and project activities will be implemented in about ten...Edit
TEYODEN wafanya mkutano na wadau wa maendeleo ya vijana manispaa ya Temeke – Katika kujiandaa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji katika shughuli za...TEYODEN make a meeting with stakeholders in the development of municipal youth Temeke – In preparing and implementation of the project to add a sense of responsibility of youth in participation and...Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
TEYODEN wafanya mkutano na wadau wa maendeleo ya vijana manispaa ya Temeke – Katika kujiandaa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji katika shughuli za kijamii na kimaendeleo ,leo TEYODEN imeanza utekelezaji huo kwa kufanya kikao na wadau wa maendeleo ya vijana katika manispaa ya Temeke,ambapo jumla ya washiriki 26 waliotakiwa kuhudhuria kikao hicho wote...TEYODEN make a meeting with stakeholders in the development of municipal youth Temeke – In preparing and implementation of the project to add a sense of responsibility of youth in participation and involvement in social activities and development, today TEYODEN begun implementation by conducting session with stakeholders in the development of youth in the municipality of Temeke, where the total participants 26 were required...Edit
Donation(Not translated)Edit
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)