Envaya

/TEYODEN/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image)(Not translated)Hindura
TEYODEN yakamilisha shughuli ya ufuatiliaji wa shughuli za vijana katika vituo 7 vya vijana kati ya vituo 12 vya mradi manispaa ya Temeke. – UTANGULIZI ...(Not translated)Hindura
(image) – TEYODEN yashiriki kwenye mkutano wa wadau Morogoro – Hivi karibuni ulifanyika mkutano wa awadu nwa maendeleo ya vijana pale mjini Morogor wakiupitia mkataba wa vijana wa Afrika na mkakati wa ushiriki na ushikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii. – Katika mkutano huo jumla ya washiriki 30 kutoka asasi za vijana na wawakilishi kutoka wizara za maendeleo ya jamii,jinsia na watto,wizara ya kilimo na wizara...(Not translated)Hindura
TEYODEN yafanya ufuatiliaji katika vituo vya vijana vya kata,zoezi linalokamilisha robo ya kwanza ya mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika shughuli – kijamii na maendeleo manispaa ya Temeke.(Not translated)Hindura
TEYODEN yaendesha mafunzo ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 – Katika kutekeleza mradi wa ukuongeza ari kwa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii,TEYODEN inaendesha mafunzo ya siku sita kwa vijana wawakilishi kutoka kata 12 za mradi huu ambao umefadhiliwa na The Foundation for Civil Society wenye thamani ya shilingi miliono 35 na mradi huo utakuwa na shughuli takribani...(Not translated)Hindura
TEYODEN wafanya mkutano na wadau wa maendeleo ya vijana manispaa ya Temeke – Katika kujiandaa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji katika shughuli za...(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
TEYODEN wafanya mkutano na wadau wa maendeleo ya vijana manispaa ya Temeke – Katika kujiandaa na utekelezaji wa mradi wa kuongeza ari ya uwajibikaji wa vijana katika ushiriki na ushirikishwaji katika shughuli za kijamii na kimaendeleo ,leo TEYODEN imeanza utekelezaji huo kwa kufanya kikao na wadau wa maendeleo ya vijana katika manispaa ya Temeke,ambapo jumla ya washiriki 26 waliotakiwa kuhudhuria kikao hicho wote...(Not translated)Hindura
Donation(Not translated)Hindura
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)