Envaya

/TEYODEN/news: English

BaseEnglish
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA JAN-APRILI 2010 – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – TEYODEN katika kipindi cha utekelezaji cha taarifa hii imefanikiwa kutekeleza shughuli mablimbali.Taarifa hii inalengo la kueleza shughuli zilizofanyika,mafanikio changamoto na mapendekeozo ya vijana katika kipindi cha uutekelezaji wa taaifa...Youth Network Information Temeke Municipality ACTION BY THE TIME Jan.-April 2010: FROM: Youth Development Network Temeke Municipality (TEYODEN), GO TO: BOARD OF DIRECTOR Temeke Municipality,: 1.0 INTRODUCTION – TEYODEN during the implementation of this report has succeeded in implementing this activity inalengo mablimbali.Taarifa describe the activities held, achievements and challenges of youth in mapendekeozo uutekelezaji period of this taaifa.,, held ACTIVITIES 2.0,: 1.1 Discussion of...Edit
TEYODEN: WAAHIRISHA MDAHALO WA VIJANA LEO – Kutokana na kuwepo kwa mkutano wa vijana unaohusu changamoto zinazowakabili vijna katika shughuli za ujasiriamali ulioandaliwa na One Stop Youth Centre ( OSYC) cha Dar Es Salaam,leo TEYODEN haitakuwa na mdahalo wa vijana hadi wiki ijayo na mada itakuwa ni ileilie ilyokuwa ikiendelea wiki mbili zilizopita.Hivyo vijana wote na wadau mbalmbali mliokuwa mmealikwa kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kuhusiana na mapambano dhidi ya ukimwi na changamoto...TEYODEN: postpone Debate Youth TODAY,,,, Due to the existence of a meeting of young people concerning the challenges facing vijna the activities of entrepreneurship was organized by the One Stop Youth Centre (OSYC) of Dar Es Salaam, today TEYODEN not be the debate of youth until next week and the topic will be two weeks ileilie ilyokuwa ikiendelea zilizopita.Hivyo mbalmbali youth and stakeholders who were invited to provide commentary related to the fight against HIV / AIDS and its challenge to...Edit
2.0 SHUGHULI ZILIZOFANYIKA – • Katika miezi 3-(Julay -sept)ya utekelezaji, shughuli zifuatazo zilitekelezwa: – 2.1 Utafiti kwa vijana juu ya uwajibikaji na ushiriki wa vijana katika shughuli za jamii na maendeleo. – TEYODEN imefanya utafiti shirikishi kuhusu uwajibikaji na ushiriki wa vijana katika vikao vya maendeleo na shughuli za kijamii na maendeleo.Utafiti huu umetokana maoni ya The Foundation For Civil kuwa ni vyema kufanya tafiti ili kujua hali ya uwajibikaji na...2.0 ACTIVITIES held,: • At 3 months - (Julay-Sept) of implementation, the following activities zilitekelezwa : – 2.1 Research on youth accountability and youth participation in community activities and development. – TEYODEN participatory research has about accountability and participation of youth in development sessions and social activities and this has been attributed maendeleo.Utafiti views of The Foundation for Civil well be doing surveys to find out the state of...Edit
Vijana wa TEYODEN wajadili ukimwi kwa kina – Katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili vijana hapa nchini,vijana wa TEYODEN hivi karibuni walipata fursa ya kuyaunganisha mawazo yao kwa njia ya mjadala kuhusiana na ugonjwa wa ukimwi ikiwa ni katika mfululizo wa mijadala inayofanyika mara mbili katika kila mwezi. – Katika mjadala huo vijana waliona ni muhimu kukawepo na wataalamu toka idara ya afya,viongozi wa dini na ikiwezekana awepo kiongozi mmoja toka serikalini,kwani mara...Youth TEYODEN discuss HIV / AIDS in detail,,,, In responding to the challenges facing youth in the country, young TEYODEN recently had the opportunity affiliation their ideas through discussion related to HIV / AIDS, including in a series of discussions undertaken twice in each month.,: In the discussion that young men find it necessary kukawepo and experts from the department of health, religious leaders and possibly generated one leader from the government, as often has been present conflict...Edit
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA JULAY-SEPT 2009. – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) ni Mtandao wa Maendeleo ya Vijana unaoendeshwa na vijana wenyewe miongoni mwa mitandao 19 iliyotokana na programu ya vijana nje ya shule iliyotekelezwa na Halmashauri 19 nchini Tanzania...INFORMATION NETWORK OF YOUTH Temeke Municipality SESSION FOR THE IMPLEMENTATION JULAY-SEPT 2009. – FROM: THE DEVELOPMENT OF YOUTH NETWORK Municipal Temeke (TEYODEN) – GO TO: DIRECTOR OF COUNCIL Temeke Municipality – 1.0 INTRODUCTION – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) is the Youth Development Network is run by young people themselves among the 19 networks derived from programs outside of school youth councils iliyotekelezwa and 19 in Tanzania with...Edit
TAARIFA FUPI YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA JAN –MACHI 2009. – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) ni Mtandao wa Maendeleo ya Vijana unaoendeshwa na vijana wenyewe miongoni mwa mitandao 19 iliyotokana na programu ya vijana nje ya shule iliyotekelezwa na Halmashauri 19 nchini...SHORT REPORT OF THE YOUTH NETWORK Temeke Municipality SESSION FOR ACTION OF Jan-March 2009. – FROM: THE DEVELOPMENT OF YOUTH NETWORK Municipal Temeke (TEYODEN) – GO TO: DIRECTOR OF COUNCIL Temeke Municipality – 1.0 INTRODUCTION – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) is the Youth Development Network is run by young people themselves among the 19 networks derived from programs outside of school youth councils iliyotekelezwa and 19 in Tanzania with funding...Edit
Donation(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
MayMayEdit
JuneJuneEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
DiscussionsDiscussionsEdit
KinyarwandaKinyarwandaEdit
SwahiliSwahiliEdit
NetworkNetworkEdit