TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA JAN-APRILI 2010 – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – TEYODEN katika kipindi cha utekelezaji cha taarifa hii imefanikiwa kutekeleza shughuli mablimbali.Taarifa hii inalengo la kueleza shughuli zilizofanyika,mafanikio changamoto na mapendekeozo ya vijana katika kipindi cha uutekelezaji wa taaifa... | (Not translated) | Hindura |