Mnamo Februari 29,2012 wawakilishi wa MOROPC walikutana na ujumbe wa balozi wa Sweden katika hotel ya Hilux ambapo wajumbe waliohudhuria kikao hicho ni – Aziz Msuya – Abedi Dogoli – Thadei Hafigwa – Samuel Msuya – Kenneth Simbaya-Rais wa UTPC – Tumsifu Mmari-Mwakilishi ubalozi wa Sweden ... | (Not translated) | Hindura |