Envaya
/Nuruhalisi/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Nuru halisi kwa sasa tunafanya usafi wa mazingira mtaa wa markaz ulioko Kata ya ukonga.Hii ni katika kutekekeleza azma ya kusimamia suala zima la utunzaji wa mazingira na kutoa elimu hiyo kwa vitendo.Tunatoa elimu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira,Utunzaji wa taka ngumu na kuzisafirisha toka majumbani hadi katika transfer points,kuharibu vyanzo vya mazalia ya mbu,pia kwa kushirikiana na serikali ya mtaa na wadau wengine tunafanya mchakato wa kupata takwimu sahihi ya makazi ,Idadi ya watu n.k.
(Bila tafsiri)
Hariri
Nasasa tunafanya utafiti wa maswala ya ugonjwa wa malaria maeneo ya markazi kwa ujumla na maeneo mengine kuzunguka maeneo hayo japo hatuja fanikiwa kwa sana kutokana na baadhi ya wadau kuto kuonyesha ushirikiano wa kutosha. Tunapata ushirikiano kutoka serikali ya mtaa huo na pia tunashirikiana na manispaa kitengo cha afya.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
May
Mei
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Kinyarwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
Network
Mtandao
Hariri
Previous
Iliyotangulia
Hariri
Email
barnabasnjenjema.comBarua pepe
Hariri
Facebook
Facebookah
Hariri
Google+
Google+
Hariri
Share:
Sambaza:
Hariri
Twitter
Twitter
Hariri
1
2
Ifuatayo »