| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
Shule ya awali (chekechea) ya watoto waishio katika mazingira hatarishi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya darasa . Watoto hawa wanasomea katika darasa lisilokidhi na baadhi hawakupata sare ya shule kutokana na ufinyu wa bajeti. Watoto huja na kurudi nyumbani kila siku |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
