Envaya

/MEECO/post/61411: Kiswahili: CM00045205AC4C4000093531:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
ilikuwa ni siku nzuri sana,kama ni mratibu wa american corner english club nilipata nafasi ya kujua mengi mazuri ya MEECO na kujenga urafiki wa kudumu kwa mashirikiano mema.ahasanteni sana kwa niaba ya club
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe