kuna sababu moja mimi naiona kuba sana.USIRI wa ukimwi unaowekwa na muusika wa umimwi na nchi mana ikumbukwe kwamba siku za hivi karibuni vijana wengi wamekuwa wakijiua mara tu wanapojua ni waasirika lakini swali linakuja kwanini wanaamua kujiua?Mimi nasema ni kwasababu ya mazingira magumu ya usiri yanayowekwa yaliyomfanya yeye kwanza kuupata ukimwi.Hakutegemea mpenzi wake ni muasirika ndio mana akalala nae hali iliyompa naye ukimwi.Je,ni haki kuendelea kufanya ukimwi... | (Not translated) | Edit |