Envaya

/MAUJATA/topic/123409: English

BaseEnglish
kuna sababu moja mimi naiona kuba sana.USIRI wa ukimwi unaowekwa na muusika wa umimwi na nchi mana ikumbukwe kwamba siku za hivi karibuni vijana wengi wamekuwa wakijiua mara tu wanapojua ni waasirika lakini swali linakuja kwanini wanaamua kujiua?Mimi nasema ni kwasababu ya mazingira magumu ya usiri yanayowekwa yaliyomfanya yeye kwanza kuupata ukimwi.Hakutegemea mpenzi wake ni muasirika ndio mana akalala nae hali iliyompa naye ukimwi.Je,ni haki kuendelea kufanya ukimwi...(Not translated)Edit
Kwa nini maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara yanazidi kuongezeka kila kuchapo ingawa kuna juhudi kedekede zinazofanywa na serikali pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali?(Not translated)Edit
Maambukizi ya VVU/UKIMWI yanazidi kuongezeka kila kuchapo kwa sababu:- 1: Umaskini. 2: Elimu ya namna ya kuzuia na kujikinga haijawakolea wadau. 3: Mila na desturi potofu zinachangia kwa kiasi fulani mfano ukeketaji, kurithi wake nk. 4: Uwepo wa mazingira hatarishi yanayoamsha na kuchochea ari ya kufanya mapenzi, mfano kumbi za starehe, migodi nk.(Not translated)Edit
ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI(Not translated)Edit
AMAMEdit
{date} at {time}{date} at {time}Edit
JanuaryJanuaryEdit
MarchMarchEdit
PMPMEdit
[hour12]:{minute} [ampm][hour12]:{minute} [ampm]Edit
{time} {tz}{time} {tz}Edit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
Add New MessageAdd New MessageEdit
Back to all topicsBack to all topicsEdit
Invite people to participateInvite people to participateEdit