Fungua

/M-E-D-1-1/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mikakati(Bila tafsiri)Hariri
Je Wajua?(Bila tafsiri)Hariri
SHULE YAFAULISHA 100%; YAJIKITA KUPELEKA WATOTO SHULE ZA VIPAJI! – Na. Makundi DJ – Shule ya Msingi Chidachi iliyoko katika Kata ya Mkonze Manispaa ya Dodoma; imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote waliohitimu darasa la saba 2011. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2004 ilifanikiwa na imeendelea kuwa na mafanikio makubwa...(Bila tafsiri)Hariri
CLUB ZAOMBA MAKTABA, TUISHENI KUNUSURU UFAULU KIDATO CHA IV, 2012 – Na. Davis Makundi – Wanachama wa Club za Marafiki wa Elimu Dodoma kutoka katika shule mbalimbali Mkoani Dodoma wameomba msaada wa kupata walimu na Maktaba za jamii ili kuwanusuru na matokeo mabaya katika mtihani wa kidato cha nne na kidato cha pili mwaka huu. ...(Bila tafsiri)Hariri
Picha za Matukio(Bila tafsiri)Hariri
Kutoka MitaaniKutoka MitaaniHariri
Wafadhili(Bila tafsiri)Hariri
Matukio Yajayo(Bila tafsiri)Hariri
Washirika(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Meneja wa Mradi wa MRMV Bi Rehema Mwakajila akiwa na maafisa wa Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) alipofanya ziara Mkoani Dodoma kwa ajili ya ufuatiliaji wa Mradi.(Bila tafsiri)Hariri
NDEBWE YALETA MABADILIKO KATIKA DEMOKRASIA. – Na. MED Information Unit – Shule ya Msingi Ndebwe iliyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma imeonesha matokeo mazuri katika uchaguzi wa kidemokrasia kwa kumchagua msichana kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo na kuwashinda wavulana waliokuwa wapinzani wake wa karibu. ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani mwenye shati la Blue ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na mwenye shati la Black ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino BBaltazary Ngowi.(image) – Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Bi. Fatma Said Ally akiongea na wadau wa Elimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa na Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) na Women Wake UP (WOWAP) kwa uhisani wa Shirika la Oxfam GB. Pichani kushoto ni Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Baltazary Ngowi.Hariri
HAKIELIMU YAPONGEZWA Na. Davis Makundi – (image) Shirika la HakiElimu limepongezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya nchini hasa katika kuboresha Elimu na Demokrasia nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) Dk. Sinda Hussein Sinda ambaye...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wanafunzi wa shule ya msingi Nghaheleze iliyoko Wilayani Chamwino wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea msaada wa Vitabu vya kiada. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwao na shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma.(Bila tafsiri)Hariri
WATAKA WABUNGE WAJITOKEZE KWENYE MIDAHALO. – Wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Mtera na Chilonwa katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wamewataka Wabunge wao kujitokeza katika mijadala inayowakutanisha ili wapate fursa ya kujadili juu ya matatizo yao. Wapiga kura hao waliyasema hayo katika mahojiano ya ufanisi wa mijadala ya Mahusiano baina ya Wabunge na wananchi inaypfadhiliwa na shirika la The Foundation...(Bila tafsiri)Hariri