Log in

/swaa-morogoro/news: English

BaseEnglish
(document)(Not translated)Edit
(image) – Wanafunzi wa Sekondari ya Mziha wakisikiliza mragibishi akitoa elimu ya usafi na Uzazi kwa wanafunzi wa kike na wakiume mwezi wa tatu mwaka 2012 kama mpango wa kuelimisha jamii.(image) – Secondary students were listening mragibishi Mziha casting hygiene education and fertility in female students and male in March 2012 as a program to educate the community.Edit
(image) – Mwenyekiti wa SWAA akitoa mafunzo ya mada kuhusu elimu ya ukimwi na afya kwa mtoto wa kike katika shule ya sekondari Mnziha 2011.(image) – Chairman's casting training saa paper on AIDS education and health for a girl in high school Mnziha 2011.Edit
(image) – picha ya pamoja ya viongizi, wajumbe wanachama na mwakilishi kutoka (The Faundation for Civil Society) baada ya mkutano.(image) – picture with the Rulership, members and representative members (The Faundation for Civil Society) after the meeting.Edit
(image) – Cheti usajili shilika la SWAA(Not translated)Edit
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation For Civil Society) akiwapa maelekezo wawakilishi wa asasi ya (SWAA-MO).(image) – Mr. kervin from (The Faundation For Civil Society), he gave instructions to the representatives of the organization (saa-MO).Edit
(image) – Msichana huyu anaesoma katika Shule ya Sekondari ya Mziha kata ya MZIHA shule iliyopo Tarafa ya Turiani, ni mmoja wawasichana ambao alieleza viongozi wa shirika hili athari ya kukaa mbali na kuwa wapo hatarini, katika kubakwa kwani wanafika nyumbani kwao usiku na huwa wanondoka asubuhi sana nyumbani kwao na kufanya muda wao mwingi kuishia njiani kwa kutembea kwa miguu au kuomba lifti za pikipiki na baiskeli. Wanafunzi wengine wanatoka zaidi ya kilomita...(image) – The girl is a esoma in School Mziha county MZIHA existing school division Turiani, is one wawasichana who described the leaders of this organization traces to stay away from that are endangered, in the rape because they come home at night and tend wanondoka morning home and make the most of their time on the road to end up walking on foot or by request of motorcycle and bicycle ride. Other students come from more than five kilometers to go and return...Edit
(image) – watoto waliopata mavazi katika shule ya msingi kisaki kituoni wilaya ya morogoro vijijini kwa ufadhili wa TAKIAIDS 2008.(image) – children who received clothing in elementary school firmly at the center of Morogoro rural district funding TAKIAIDS 2008.Edit
(image) – Kikundi hiki kinaitwa Mbeta Group huwa kinafanya kazi ya kutoa mafunzo mbalimbali kwa njia ya sanaa na ngoma yao ya Mbeta. Ngoma hii ni asili ya Kabila la waluguru ambao huishi mlimani. vifaa anavyotumia ni mianzi ya kupuliza ambayo hutengenezwa kwa ustadi na kutoa sauti saba yaani DO RE MI FA SO LA TI DO. Shirika hili wanafanya nao kazi kwa kutoa elimu katika jamii hasa ya UKIMWI na kukemea mila potofu kama vile kuwaoza wasichana kabla ya umri....(image) – This group was called Mbeta Group are collaborating to provide training through art and dance their Beta. This dance is the nature of the Uluguru tribe who live in the mountain. equipment uses the blowing reeds which are made with skill and seven sound that is DO RE MI FA SO LA TI DO. This organization are working with communities to provide education, especially for AIDS and denouncing traditional practices such as kuwaoza girls before the age. ...Edit
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation for Civil Society) akiandika maelezo kutoka kwa viongozi wa (SWAA- MO).(image) – Mr. kervin from (The Faundation for Civil Society) was written explanation from the officials (saa-MO).Edit