Envaya

/pwani-dpa/news: English

BaseEnglish
(document)(Not translated)Edit
(image) – Sehemu ya Washiriki wa warsha ya kuandaa Mpango Mkakati wa Pwani-DPA WAKISIKILIZA KWA MAKINI kuhusu mchakato wa uandaaji wa Mpango Mkakati(image) – Part of the workshop participants to prepare a Strategic Plan for Coastal-DPA WAKISIKILIZA carefully about the process of preparation of the Strategic PlanEdit
(image) – Sehemu ya Washiriki wakifuatilia kwa Makini Mchakato wa uandaji wa Mpango Mkakati kutoka kwa Mwezeshaji(Haonekani katika picha)(image) – The proportion of participants were monitored for Pay attention to the process performance from the Strategic Plan Facilitator (Haonekani in picture)Edit
(image) – Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Halima Kihemba ( kushoto) na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa wakimkabidhi Baiskeli Mfanyakazi wa Kujitolea Wa Pwani- DPA, bW. Emanuel Kombe (katika)kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Malaria katika Wilaya ya Kibaha.(image) – General Kibaha District, Bi. Halima Kihemba (left) and Head of National Torch Race Bikes were committed employee volunteers coast-DPA, Mr. Emanuel Cup (in) for the Implementation of the Program to Fight Malaria in Kibaha District.Edit
(image) – Sehemu ya wananchi wa Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha walioshiriki katika uzinduzi wa Zahanati wakati wa Sherehe za Mbio za Mwenge, Ambapo Pwani-DPA kwa kuhamasisha jamii kuchangia kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika ngazi ya kaya ili kupunguza mazalia ya Mbu(image) – Part of the citizens of Ward Misugusugu in the council of the City of Kibaha who participated in the inauguration of the clinic at the Feast of Uhuru Torch race, Where Coast-DPA by encouraging communities to contribute share to sanitation at the household level to reduce the breeding of mosquitoesEdit
(image) – Mwezeshaji Kiongozi wa Warsha Bw. Hamisi Kellenge Masasa, akishirikisha washiriki wa Warsha kuhusu umuhimu wa Mipango shiriki jamii katika asasi za Kiraia na Uendelevu wa Miradi wakati wa mchakato wa Kuandaa Mpango Mkakati wa Miaka mitano (5) ya Pwani-DPA,(image) – The facilitator of the workshop, Mr. Leader. Hamisi Kellenge Msasa, he engaged the participants of the workshop on the importance of community participation programs in civil society and the sustainability of projects during the process to prepare a five-year Strategic Plan (5) Coastal-DPA,Edit
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa Pwani-DPA bW. mATHEW cHUNGU, akitoa Tshirt kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Bi. Halima Kihemba kama sehemu ya Kufikisha ujumbe kwa Jamii kuhusu umuhimu wa Kinga na Tiba sahihi ya Ugonjwa wa Malaria kwenye kilele cha mbio za Mwenge Julai, 2010 Wilayani Kibaha(image) – Executive Director of the Coastal-DPA BW. Mathew God, a Tshirt for the District of Kibaha Bi. Halima Kihemba as part of the community to convey messages about the importance of proper protection and Treatment of Malaria on the summit of Uhuru Torch race in July, 2010 Kibaha DistrictEdit
(image) – Mwenyekiti wa Pwani-DPA, Bw. Omari Abdallah akikaribisha baadhi ya wageni kwenye Banda la Pwani-DPA ili kutambua mchango wa Asasi katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Malaria katika Wilaya ya Kibaha.(image) – Chairman of the Coast-DPA, Mr. Omari Abdallah was invited some guests to the beach-DPA Banda to recognize the contribution of institutions in the fight against Malaria in Kibaha District.Edit
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa Pwani-DPA, AKIONGOZA ZOEZI LA uTAMBULISHO kwa Mmoja ya Washiriki wa Warsha(image) – Executive Director of the Coastal-DPA, AKIONGOZA EXERCISE identity for one of the participants of the workshopEdit
(image) – Pichani, Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2010, akitoa hotuba katika ufunguzi wa Zahati katika Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha- Pwani-DPA ilitumia fursa hii kutoa elim u kwa jamii kuhusu umuhimu wa Matumizi ya Vyandarua vyenye viatilifu ikiwa ni moja ya Mbinu za Kujikinga na Ugonjwa wa Malaria kwa Wanawake Wajawazito na Watoto chini ya Miaka mitano, Kupitia maradi wa COMMIT unaotekelezwa kwa ushirikiano wa CVM/APA na...(image) – Pictured, leader of the Uhuru Torch race Nationally in 2010, giving a speech at the opening of Zahati County Misugusugu in the council of the City of Kibaha-Coast-DPA used this opportunity to elim u community about the importance of the use of nets viatilifu if one is Methods of Prevention of Malaria in Pregnant Women and Children under five years, through projects of COMMIT is implemented in cooperation with the CVM / APA and PSI-Tanzania.Edit