Envaya

/swaa-morogoro/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(document)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wanafunzi wa Sekondari ya Mziha wakisikiliza mragibishi akitoa elimu ya usafi na Uzazi kwa wanafunzi wa kike na wakiume mwezi wa tatu mwaka 2012 kama mpango wa kuelimisha jamii.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwenyekiti wa SWAA akitoa mafunzo ya mada kuhusu elimu ya ukimwi na afya kwa mtoto wa kike katika shule ya sekondari Mnziha 2011.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – picha ya pamoja ya viongizi, wajumbe wanachama na mwakilishi kutoka (The Faundation for Civil Society) baada ya mkutano.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Cheti usajili shilika la SWAA(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation For Civil Society) akiwapa maelekezo wawakilishi wa asasi ya (SWAA-MO).(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Msichana huyu anaesoma katika Shule ya Sekondari ya Mziha kata ya MZIHA shule iliyopo Tarafa ya Turiani, ni mmoja wawasichana ambao alieleza viongozi wa shirika hili athari ya kukaa mbali na kuwa wapo hatarini, katika kubakwa kwani wanafika nyumbani kwao usiku na huwa wanondoka asubuhi sana nyumbani kwao na kufanya muda wao mwingi kuishia njiani kwa kutembea kwa miguu au kuomba lifti za pikipiki na baiskeli. Wanafunzi wengine wanatoka zaidi ya kilomita...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Kikundi hiki kinaitwa Mbeta Group huwa kinafanya kazi ya kutoa mafunzo mbalimbali kwa njia ya sanaa na ngoma yao ya Mbeta. Ngoma hii ni asili ya Kabila la waluguru ambao huishi mlimani. vifaa anavyotumia ni mianzi ya kupuliza ambayo hutengenezwa kwa ustadi na kutoa sauti saba yaani DO RE MI FA SO LA TI DO. Shirika hili wanafanya nao kazi kwa kutoa elimu katika jamii hasa ya UKIMWI na kukemea mila potofu kama vile kuwaoza wasichana kabla ya umri....(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mr. kervin kutoka (The Faundation for Civil Society) akiandika maelezo kutoka kwa viongozi wa (SWAA- MO).(Bila tafsiri)Hariri
(image) Hawa ni watoto yatima wanaoishi katika wilaya ya mvomero katika kata ya turian, shirika limechukua hatua ya kuwasomesha kwa sababu wanaishi na bibi yao ambaye hana uwezo wa kuwasomesha. baba yao aliye wazaa yupo hai lakini naye hajiwezi kwa sababu ni mlemavu wa miguu. Mwananchi yeyote ambaye ameguswa na hili na anapenda kuwasaidia watoto hawa anakaribishwa. kwa mawasiliano 0714 681768(Bila tafsiri)Hariri