KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI – Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondatri Kikuyu wameamua kuunda kamati ya shule kwa ajili ya kuratibu shughuli za Marafiki ili kuongeza ufanisi na uendelevu wa harakati za Marafiki katika shule hiyo. ... | (Not translated) | Hindura |