Envaya

/M-E-D-1-1/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mikakati(Bila tafsiri)Hariri
Je Wajua?(Bila tafsiri)Hariri
Picha za Matukio(Bila tafsiri)Hariri
Kutoka MitaaniKutoka MitaaniHariri
Wafadhili(Bila tafsiri)Hariri
Matukio Yajayo(Bila tafsiri)Hariri
Washirika(Bila tafsiri)Hariri
WASICHANA NA CHANGAMOTO KATIKA MABARAZA YA WANAFUNZI – Ikionekana kama ilishazoeleka ya kuwa viongozi wengi wanaopaswa kuongoza kundi au vikundi vya watu ni lazima awe mwanaume na hivvyo kuchangia kwa kiasi kikubwa kuendelea na ile dhana ya mfumo dume katika jamii zetu. ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho.(image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho cha Shule ya Msingi Mvumi co,ed Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma..Hariri
MIAKA SABA SHULE HAINA MWALIMU WA HESABU – Wakati serikali ikiwa imeunda tume ya kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012, zipo sababu nyingi zinazoonyesha dalili za awali za majibu yatakayoletwa na tume hiyo mara baada ya kukamilika kwa uchunguzi wake. ...MIAKA SABA SHULE HAINA MWALIMU WA HISABATI – Wakati serikali ikiwa imeunda tume ya kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012, zipo sababu nyingi zinazoonyesha dalili za awali za majibu yatakayoletwa na tume hiyo mara baada ya kukamilika kwa uchunguzi wake. ...Hariri
WAKETI KWENYE UDONGO DARASANI KWA UHABA WA MADAWATI – Wanafunzi katika shule ya msingi Chalula iliyopo Mvumi Makulu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakabiliwa na uhaba wa madawati na kusababisha kuketi chini huku baadhi ya madarasa yakiwa hayana sakafu. – Hayo yalibainika hivi...WAKETI KWENYE UDONGO DARASANI KWA UHABA WA MADAWATI – Wanafunzi katika shule ya msingi Chalula iliyopo Mvumi Makulu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakabiliwa na uhaba wa madawati na kusababisha kuketi chini huku baadhi ya madarasa yakiwa hayana sakafu. – Hayo yalibainika hivi...Hariri
(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Mvumi co,ed iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.Hariri
(image) – Katika utekelezaji wa kweli wa maendeleo ya Tanzania tunahitaji viongozi wachapakazi wenye moyo wa kutumikia wananchi na kukubali ushauri bila kujali nyadhfa zao. Bi.Fatma Said Ally ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino ni miongoni mwa viongozi ambao wanapongezwa na wananchi kutika juhudi zake za kuwa karibu na wananchi,taasisi pamoja na wadau katika Wilaya yake kwa lengo la kuwaletea maendeleo. MED inampongeza kiongozi huyu na kumtakia kila la kheri...(Bila tafsiri)Hariri
Kitaifa – Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Hili ni moja ya tundu la choo hicho kinachotumiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndebwe Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.(image) – Hili ni moja ya tundu la choo hicho kinachotumiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mvumi co,ed Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.Hariri