Envaya
/kioo/topic/40705/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
@Mbura Chiragwile (Kigoma Town):
(Bila tafsiri)
Hariri
Nani anaombwa ridhaa ya katiba mpya?nani amekataa katiba mpya? nani anapaswa akubali ili katiba mpya iwepo?haya maswali na maswali mengine mengi ni baadhi ya maswali ambayo watanzania nikiwemo mimi binafsi tunajiuliza.kwani madai ya katiba yasiwe kivuli, lazima tusimame imara kuhakikisha kwamba haki na uhuru wetu na maslahi ya watanzania hayaathiriwi na matumizi mabaya ya uhuru na haki zetu,si viongozi wqa kisiasa kwa ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Naleta hoja kioo ni nini
(Bila tafsiri)
Hariri
ahsante kwa maono yako, lakini kubwa watanzania hatuijui katiba ya zamani mpya tutaiiteteaje au tunajua ina mapungufu gani. wakati hata cover yake mimi nimeiona mwaka jana. Tufundishwe katiba ya zamani tuone mapungufu yake halafu tutoe maoni
(Bila tafsiri)
Hariri
Kioo ni nini!
(Bila tafsiri)
Hariri