Base (Swahili) | English |
---|---|
Asema hata akifaulu shule ya Kata hasomi: Mwanafunzi wa shule ya msingi Mvumi Makulu Elia Mkwila (13) amesema hayuko tayari kusoma katika shule za serikali za kata kutokana na elimu inayotolewa katika shule hizo kuto kukidhi mamhitaji ya elimu bora nchini. Kijana Mkwila ayasema hayo alipofanya mahojiano mafupi na Mrartibu wa shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) Bw. Davis Makundi wakati wa kukabidhi vitabu kwenye shule hiyo iliyoko katika Tarafa ya Mvumi. Hali inaonyesha wazi kuwa kwa sasa hata wanafunzi wenyewe wanaona kuwa hawata kuwa tayari kuona juhudi zao zikiishia katika shule zinazokosa vigezo vya kutoa msaada wa kuwafanya waendelee kuwa bora katika elimu yao. Kutokuwa kuwa kwao tayari kusoma katika shule za kata ni sawa na mtu anaye amua kujitoa mhanga maisha yake kama njia mojawapo ya kuonyesha kutorizika na jambo fulani. Mwanafunzi huyo mlieleza kuwa katika masomo yake ya darasa la saba amekuwa akifanya vizuri kwenye masomo mengi ila kazi kubwa iko kwenye masomo mawili ya Hisabati na Kiingereza ambayo hufanya vibaya kila mwaka. Katika hatua nyinhgine mmoja wa walimu wa shule ya msingi Mvumi Makulu anakosoma kijana nElia ambaye hakutaka jina lake litajwe alieleza kuwa licha ya juhudi kubwa za walimu katika kufundisha, bado ana mashaka makubwa na hai itakavyokuwa kwa wanafunzi wa darasa la saba wakati wa mtihani. “watoto hawa wanahitaji kazi ya ziada katika kuwasaidia katika mtihani wao wa darasa la saba kutokana na masharti ya kutumia karatasi za (OMR)”. |
Says that he succeeded not read Ward School: Student primary school gossip Makulu Mkwila Elia (13) has said it is ready to read in the public schools of the county from the education offered in these schools inactivity meet demands for quality education in the country. Boy Mkwila I say it had made a short interview with Mrartibu agency Dodoma Friends of Education (MED) mr. Davis groups during the handover of the books to the school which is in the Division of speculation. The situation shows that now even the students themselves feel that it would be willing to see their efforts in schools lacking zikiishia criteria to help them continue to be the best in their education. Ot have them ready to read in school ward is like a person who decides to sacrifice her life as a way of showing kutorizika with something. The student explained that in his study of seventh grade has been doing well on many subjects, but much work is in two subjects of Mathematics and English which makes wrong every year. In step nyinhgine one of the teachers of the primary school gossip Makulu is kosoma young Elijah who declined to be named explained that despite the efforts of teachers to teach, still has serious doubts and alive it will be for students in seventh grade at the time of the test. "These children need extra work to help test their seventh grade due to terms of use sheets (OMR)". |
Translation History
|