Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Ninyi ni marafiki wa kweli maana mnaonekana kwenye shida. Taarifa zenu zimekuwa msaada sana katika Elimu ya Tanzania. Kupitia tovuti yenu mim binafsi nimeona hali halisi iliyoko uvunguni mwa kitanda. Kwa hiyo ni changamoto pia hata kwa wadau wa elimu katika mipango ya maendeleo ya elimu (Educational development planning). Keep it up. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe