MCT YAAHIDIWA MSAADA KUHAMIA DODOMA Na. MED Media Unit – Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi amelishauri Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhamia Dodoma na kuahidi kusaidia juhudi za baraza hilo ili lihamishie makao yake Mjini Dodoma. – Dk. Nchimbi alitoa ahadi hiyo wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Redio... | (Bila tafsiri) | Hariri |