Base (Swahili) | English |
---|---|
Kwani Viongozi wetu Hawaoni? Wananchi wa Kata ya Hazina iliko shule ya Msingi wanajiuliza swali mkwamba "Kwani viongozi wetu hawaoni?" wakazi hawa wamefikia hatua hiyo mara baada ya kutosikia hatua zozote zilizochukuliwa na ama viongozi wa Mkoa, Wilaya, au Tarafa kuhusiana na vyumba viwili vya madarasa vilivyojengwa katika shule hiyo kuharibika vibaya kutokana na kujengwa chini ya kiwango. Jengo hili lililojengwa kwa fedha za MMEM II; halifaimkwa shughuli zozote kutokana na kuwa a nyufa zinazotihia kila aina ya kiumbe hai kinachothamini uhai wake. Hapa ndipo tunapojiuliza kama kweli rasilimali za umma zinatumika ipasavyo au la; jamii nayo inapaswa kuwajibika katika kusimamia vyema rasilimali za umma badala ya kuiachia serikali ambayo kazi hizi mbovu zinapofanyika viongozi wanakuwa hawahusiki. |
Did they not see our leaders? Citizens of the County Treasury iliko Primary School are asking the question thorny shrub, "Have our leaders do not see!" Residents that they have reached a stage that immediately after hearing any actions taken by either officials of the province, district, or division related to two rooms of classrooms constructed in schools So badly damaged due to be built under the standard. This building is made with silver PEDP II; not lifaimkwa any activity due to a crack zinazotihia every kind of living creature kinachothamini his life. Here is where we pojiuliza whether public resources are used appropriately or not, society should take responsibility and better management of public resources rather than leaving these tasks bad government which they are undertaken, officials are liable. |
Translation History
|