MCHAKATO WA KUPATA WAJUMBE WA BODI YA MED WAANZA. Na. Bentez Fares. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeanza mchakato wa kutafuta Wajumbe wa Bodi yake kwa ajli ya kusimamia shughuli za Asasi hiyo. Mchakato huu umeanza siku chache baada ya MED kuwasilisha Katiba na vielelezo muhimu kwenye Ofisi ya Msajili wa Asasi za Kiraia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na kuahidikwa kupata hati ya usajili ifikapo Ijumaa ya tarehe 10 Februari;... | PROCESS OF GETTING TO MEMBERS OF THE BOARD OF ONE. And. Bentez Fares. – Organization Friends of Education Dodoma (TO) has begun the process of searching for members of the Board to manage a way that gives the alliance activities. This process started a few days after TO the Constitution and submit necessary documents to the Office of the Registrar of Civil Society in the Ministry of Social Development, Gender and Children and kuahidikwa get a certificate of... | Edit |