Kero ya Maji Kikuyu Hadi lini? – Wakazi wa kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma hawajui hatima yao dhidi ya kero ya maji wanayo endelea kuipata kwa miongo kadhaa hadi sasa. wakazi hao wamekuwa wakitumia maji ya visma vifupi yasiyo safi wala salama kwa kipindi kirefu imeelezwa. (image) – Kama picha inavyoonesha hapo... | (Not translated) | Hindura |