SHULE YAFAULISHA 100%; YAJIKITA KUPELEKA WATOTO SHULE ZA VIPAJI! – Na. Makundi DJ – Shule ya Msingi Chidachi iliyoko katika Kata ya Mkonze Manispaa ya Dodoma; imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote waliohitimu darasa la saba 2011. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 2004 ilifanikiwa na imeendelea kuwa na mafanikio makubwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |