BIASHARA UTOTONI NA ELIMU – Mtoto Samson Hezron (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha katika Manispaa ya Dodoma ni miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi wanao juihusisha na biashara wakiwa na lengo la kusaidia kuinua kipato cha familia zao. – (image) Samson akionge na MED alisema kuwa anafanya biashara ya miwa ili kuongeza kipato kwenye familia na kuweza kupata fedha za kukidhi mahitaji yake muhimu... | (Bila tafsiri) | Hariri |