Hakuna Maisha Bora Bali Bora Maisha. – Familia moja katika Kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma itaubaliana na kauli yangu kwa Bora Maisha kwa Kila Mtanzania na ukweli si Maisha Bora kwa kila Mtanzania kama ambavyo kauli hiyo imekuwa ikiimbwa kila kukicha na viongozi wetu wa Serikali na hata wa hama Tawala CCM. – Kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa moja kati ya nyumba zilizoathiriwa na mvua zilizonyesha mjini Dodoma tangu mwishoni mwa mwezi Januari... | Nothing Better Life Better Life Bali. – One family in South County Kikuyu Dodoma Municipality itaubaliana and my word for Better Life for Every Tanzanian and Quality of Life in reality is not like that word every Tanzanian has been ikiimbwa indeed hour by hour and our leaders of government and the ruling CCM's move. – For over a month and a half now one of the houses affected by the rains in Dodoma zilizonyesha since late January despite not ijafanyiwa... | Edit |