Base (Swahili) | English |
---|---|
Hakuna Maisha Bora Bali Bora Maisha.Familia moja katika Kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma itaubaliana na kauli yangu kwa Bora Maisha kwa Kila Mtanzania na ukweli si Maisha Bora kwa kila Mtanzania kama ambavyo kauli hiyo imekuwa ikiimbwa kila kukicha na viongozi wetu wa Serikali na hata wa hama Tawala CCM. Kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa moja kati ya nyumba zilizoathiriwa na mvua zilizonyesha mjini Dodoma tangu mwishoni mwa mwezi Januari haijafanyiwa ukarabati licha yafamilia hiyo kuendelea kuitumia nyumba hiyo huku kila siku wakizidisha sala na kujikabidhi mikononi mwa muumba kwa lolote linaloweza kutokea. Unadhani familia hii itachagua lipi kati ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Bora Maisha kwa Kila Mtanzania? Ni wazi kwamba jibu la familia hii unalo. Tuachane na nyumba ya mpiga kura huyu na kuangalia suala la usafi wa mazingira na hasa suala la choo; KARIBU! Hiki ndicho choo kinacho tumiwa na familia hii; hiki ni kipindi cha mvua ambacho kwa kawaida kipindupindu nacho hushika hatamu. Bado najiuliza juu ya Familia hii; inaihesabu na kuikubali SERIKALI NA KAULI ZAKE? Majibu na ushauri wako ni muimu sana! |
Nothing Better Life Better Life Bali.One family in South County Kikuyu Dodoma Municipality itaubaliana and my word for Better Life for Every Tanzanian and Quality of Life in reality is not like that word every Tanzanian has been ikiimbwa indeed hour by hour and our leaders of government and the ruling CCM's move. For over a month and a half now one of the houses affected by the rains in Dodoma zilizonyesha since late January despite not ijafanyiwa rehabilitation yafamilia proceed to use the property while they multiply daily prayer and commitment made by the hands of whatever can happen. Do you think this family will select which of the three Quality of Life for all Tanzanians and Better Life for All Tanzanians? It is clear that the answer to this family you have. Tuachane voter's house and look at this issue of sanitation and especially the issue of toilet: WELCOME! This is the subject of toilet used by this family, this is the rainy season which usually cholera and it is in control. Families still wondered about this, and accept inaihesabu GOVERNMENT AND ITS STATEMENT? Feedback and suggestions are very muimu! |
Translation History
|