@NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): – Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu watanunua na pesa itapatikana kwa biashara hiyo.)angalia jinsi vikombe vilivyoongezeka hivi karibuni),mara cha bibi,mara cha nani;siwalaumu hii yote ni kwa sababu ya... | (Not translated) | Hindura |