Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
@Sango Kipozi (Dar-es-salaam, Jeanmedia): Tatizo ni ukiritimba uliopo kwenye uwekezaji katika sekta ya umeme, chukua mfano wa uwekezaji wa mawasiliano matokeo yake hayo hapo, hadi vijijini watu wanapata mawasiliano. Kwanini serekali isiruhusu uwekezaji wa umeme bila kupitia mikataba ya kuiuzia TANESCO? Nafikiri hiyo ndiyo njia pekee itakayo okoa nchi hii kutokana na tatizo hili la umeme. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe