Envaya

/jeanmedia/topic/40819: English: dM0004C81CA2824000041416:content

Base (Swahili) English

@Sango Kipozi (Dar-es-salaam, Jeanmedia): 

Tatizo ni ukiritimba uliopo kwenye uwekezaji katika sekta ya umeme, chukua mfano wa uwekezaji wa mawasiliano matokeo yake hayo hapo, hadi vijijini watu wanapata mawasiliano. Kwanini serekali isiruhusu uwekezaji wa umeme bila kupitia mikataba ya kuiuzia TANESCO? Nafikiri hiyo ndiyo njia pekee itakayo okoa nchi hii kutokana na tatizo hili la umeme.

@ Sango physician (Dar-es-salaam, Jeanmedia):

The problem is bureaucratic existing investment in the electricity sector, take the example of investment that results when communication to rural people have access to communication. Why the Government must not let electricity investment contracts without going through the kuiuzia TANESCO? I think that's the only way that will save this country from the problem of electricity.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
August 1, 2011
@ Sango physician (Dar-es-salaam, Jeanmedia): – The problem is bureaucratic existing investment in the electricity sector, take the example of investment that results when communication to rural people have access to communication. Why the Government must not let electricity investment contracts without going through the kuiuzia TANESCO? I think that's the only way that will save this country from the problem of electricity.