Base (Swahili) | English |
---|---|
Janga hili ni kubwa na limeleta madhara makubwa katika maisha ya wananchi hawa,familia zimekosa mwelekeo, waathirika wakubwa ni watoto na akina mama ambao wameachwa na waume zao kwa sababu ya hali ngumu ya maisha baada ya mali zao kuteketea.Hivyo tunashauri taasisi za kimataifa .makampuni, watu binafsi kusaidia familia hizi kwani mpaka sasa serikali haijatoa msaada wowote kwa wahanga hao, |
(Not translated) |