Envaya
/M-E-D-1-1/news
: Kiswahili
1
2
3
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Mikakati
(Bila tafsiri)
Hariri
Je Wajua?
(Bila tafsiri)
Hariri
Picha za Matukio
(Bila tafsiri)
Hariri
Kutoka Mitaani
Kutoka Mitaani
Hariri
Wafadhili
(Bila tafsiri)
Hariri
Matukio Yajayo
(Bila tafsiri)
Hariri
Washirika
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mandhari ya mji wa Dodoma inazidi kubadilishwa kwa kuboreshwa na wawekezaji mbalimbali kama ambavyo eneo hili la Independence Square linavyoonekana baada ya uboreshwaji uliofanywa na Benki ya Biashara ya Akiba (ACB.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mgomo wa mashine za TRA wazidi kuathiri wakazi wa Dodoma
(Bila tafsiri)
Hariri
MCT YAAHIDIWA MSAADA KUHAMIA DODOMA Na. MED Media Unit – Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi amelishauri Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhamia Dodoma na kuahidi kusaidia juhudi za baraza hilo ili lihamishie makao yake Mjini Dodoma. – Dk. Nchimbi alitoa ahadi hiyo wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Redio...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mtaa wa One Way maarufu kwa biashara mbalimbali ukiwa kimya kutokana na maduka kufungwa kuhusiana na mgomo wa wafanya biashara.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Karibu Dodoma
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – KIU DARASANI
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Uendelezaji wa Mji wa Dodoma unaozingatia ujenzi wa nyumba bora za kuishi unafanyika na kuufanya mji wa Dodoma kuwa nadhifu na wa kuvutia, Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA hainabudi kushughulikia suala la miundombinu ya barabara kwa haraka ili kukidhi mahitahi ya wakazi wa mji huu.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utawala bora kwa wanafunzi wa shule za Wilaya ya Chamwino yanayoendeshwa na MED kwa uhisani wa Oxfam.
(Bila tafsiri)
Hariri
1
2
3
Ifuatayo »