Envaya

/Tawa/post/107745: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Tunasikitika kuona familia hizo ambazo serikali haijazishugulikia wakati wenzao waliopata tatizo kama la kwao wakiwa Mabwepande ,bado wanategemea kupatwa na maafa zaidi ya yale ya mwanzo.Hivyo asasi za kitaifa na kimataifa tunawaomba waingilie kati suala hili watu hawa wanusurike.(Not translated)Hindura
Katika janga hili tunajua kabisa waathirika wakubwa ni wanawake ,watoto , wazee pamoja .na walemavu.(Not translated)Hindura
Ni bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta ,kwa hali yoyote familia hizo zipate wanaharakati watakao jitolea kupaza sauti ili kupatikane ufumbuzi wa haraka na wakudumu ili tusiwe kila siku tunarudia suala hilo hilo .(Not translated)Hindura
IDARA YA HALI YA HEWA YATAHADHALISHA WAKAZI WA MABONDENI – Wakati matatizo ya awali yaliyowapata wananchi waishio mabondeni kutokana na mafuriko hayajapatiwa ufumbuzi , hasa wakazi wa Keko mwanga Magulumbasi A na B ,Mission kizinga msikitini ,Tabata Kisukuru na wengineo ,tahadhali imetoka katika idara ya hali ya hewa kwamba kutakuwepo na madhala makubwa kutokana na mvua za vuli zitakazonyesha kwa muda mfupi.Hii ni pamoja na kuwepo kwa magonjwa ya...(Not translated)Hindura
Add a commentTanga igitekerezoHindura
Your email:(Not translated)Hindura
Your email address will not be published.(Not translated)Hindura
Your location:Aho uherereyeHindura
%s said:%s bavuzekoHindura
(optional)(Not translated)Hindura
Publish commentHitisha igitekerezoHindura
CommentsIbitekerezoHindura
MarchWerurweHindura
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hindura
DiscussionsIbiganiroHindura