05/06/2010 – Wanachama walikutana kuangalia uwezekanowa kuanzisha mradi wa pamoja ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha. – Kwani mpaka sasa tuna miradi ya mtu mmoja mmoja inayotuwezesha kujikimu na ugumu wa maisha.Kuna wanakikundi wanaofanya shughuli mbalimbali kama – 1:Ushonaji – 2:Mama lishe – 3:Uuuzaji wa mitumba,viatu na mapambo ya nyumbani – 4:Usukaji wa nywele – 5:Uuzaji wa... | (Not translated) | Hindura |