Tuko pamoja katika kuomboleza msiba huu mkubwa katika taifa letu – Hali hii kwa sasa iko katika baadhi ya mikoa na athari kubwa imetokea Dar es Salaam na tunasikia na kuona baadhi ya taasisi,watu binafsi n.k ikiwa ni pamoja na serikali zikichukua hatua kuwanusuru wahanga – Hima wana azaki tuwaunge mkono HAWA WASAMARIA WEMA kukabiliana na majanga na janga hili la mafuriko na mengine yanayotukumba na kurejea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na ajali za barabarani na... | We are grieving together in this great tragedy in our nation – This situation is currently in some regions with large effects occurred in Dar es Salaam and we hear and see some of the institutions, individuals, etc., including governments adopting measures to help victims – CSOs have the stamina tuwaunge EVE Good Samaritan hand to deal with disasters and catastrophic flooding this and other yanayotukumba and return often including traffic accidents and water... | Edit |