Envaya
/m-e-d-1-1/post/99023
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Kila mwenye nia njema atakuunga mkono katika hili. Najua tatizo litakuwa namna ya kupata ufadhili likini inawezekana kwani wazo hili ni zuri. Nakupongeza sana
(Not translated)
Hindura
Hongera MED kwa kufikia uamuzi wa kuwa na Asasi, tunakuunga mkono kwa hilo. Tarajia upinzani mkubwa toka serikalini kwani suala la Demokrasia, utawala bora na community engagement ni moja kati ya maeneo ambayo yana ukiritimba wa serikali. Kuwa macho na hilo.
(Not translated)
Hindura
Hongera MED tuko numa yako katika hili. Hatutakuacha peke yako kwani hii ni kazi nzuri ya kutufikisha kenye demokrasia ya halli ya juu
(Not translated)
Hindura
good job
(Not translated)
Hindura
Hongereni sana..kazi nzuri
(Not translated)
Hindura
NILIKUWA NAOMBA NA WATU WENYE ULEMAVU WAJARIBU KUANGALIWA KWA SABABU WENGINE HAWANA MSAADA WOWOTE KWA MFANO MIMI HAPA SINA MSAADA WOWOTE ULE NATOKA NYUMBANI KWA MIGUU NAKURUDI KWA MIGUU BASI JAMANI JARIBUNI KUANGALIA NA HILI KWA WATU KAMA SISI WENYE ULEMAVU. MCHANGO WANGU NDIYO HUO SINA MENGI YAKUONGEZEA.
(Not translated)
Hindura
Mikakati
(Not translated)
Hindura
Je Wajua?
(Not translated)
Hindura
Picha za Matukio
(Not translated)
Hindura
Kutoka Mitaani
(Not translated)
Hindura
Wafadhili
(Not translated)
Hindura
MED Yaanza Mchakato wa kupata Usajili wa Kudumu. (Na Prince Kimaro) – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeingia katika mchakato wa kupata usajili wa NGO ili kuongeza ufanisi katika kazi zake baada ya kufanya kazi kama CBO kwa kipindi cha miaka mitatu. (image) – Mratibu wa MED na mwanaharakati wa Elimu na Maendeleo Mkoani Dodoma Bw. Davis Makundi amesema ana uhakika kwa kazi zilizofanywa na MED...
(Not translated)
Hindura
Matukio Yajayo
(Not translated)
Hindura
Washirika
(Not translated)
Hindura