Envaya
/VOYOHEDE/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
(image) – Mhasibu na Mratibu wa mradi wa UMESE wakifuatilia kwa makini mafunzo ya usimamizi wa mradi kule Dodoma
(Bila tafsiri)
Hariri
UFUNGUZI TAWI JIPYA – Napenda kuwapa taarifa wadau na wanaharakati wote kuwa Makao makuu ya Voyohede Mtwara yamekubari ombi la kufungua tawi jipya Dar es salaam kwa mkataba maalumu ambao utasainiwa na wanachama wa Dar ambao ofisi na eneo la mradi lipo kule Tabata kisukuru. Hivyo wabia wa asasi hii mnachaguo la wapi muende. Muongozo au mpango mkakati wa VOYOHEDE makao makuu unatambua uwepo wa tawi moja ambalo litafuata taratibu zilizopo katika mkataba, lengo lakuwa na matawi...
(Bila tafsiri)
Hariri
Siku ya vijana duniani, serikali imeainisha mikakati na sera za kuwakwamua vijana? – Nilikuwa kimya nikisikiliza na kufuatilia kwa makini matamko au hutuba zenye mantiki kwa vijana wa Tanzania kutoka serikalini. Nilianza kwa kuingia mtandaoni labda kunachochote nikakaa karibu na redio na kila wakati wa habari nilibadilisha kituo mara hiki mara kile ilimladi nisikie hotuba ya kiongozi yeyote wa serikali akitamka jambo kwa vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa lolote...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
VOYOHEDE inapeda kuwapa taarifa wanaharakati vijana na vijana wote hususani wanaoishi mkoani MTWARA kuwa kutakuwa na kambi ya viana ya KITAIFA itakayofanyika jijini Dar es salaam katika kampasi ya chuo kikuu cha Dar es salaam kuanzia tarehe 29 july 2013. – Kambi hiyo inalengo la kubadilisha fikra za vijana kuhusu ajira na maisha, kambi hiyo imefadhiliwa na kuandaliwa na International Youth Fellowship(IYF) gharama za kuchangia ni Tsh 10000 tu kwa kila kijana, gharama hiyo...
(Bila tafsiri)
Hariri
UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFUNZO YA JKT KWA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA NI KUWEKA MATABAKA. – Itakumbukwa kuwa ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni kubwa sana,na miongoni mwao ni vijana, wakati serikali inakabiliwa na changamoto ya kuwawezesha vijana kiuchumi kwa kuwahakikishia elimu ilio bora limekuja wazo la kuwapeleka vijana JKT kwa mujibu wa sheria, vijana hawa ni wale tu waliofaulu kidato cha sita wakapata daraja la kwanza na la pili na wale...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mratibu wa mradi wa UMESE akipata maelezo na maLekebisho ya mradi kutoka kwa wawezeshaji
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
January
Januari
Hariri
October
Oktoba
Hariri
May
Mei
Hariri
August
Agosti
Hariri
September
Septemba
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Kinyarwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
1
2
Ifuatayo »