Suala la afya kwa wahanga hawa wa mafuriko ni muhimu kulishughulikia kutokana na mazingira/ maeneo yao ni machafu sana na mengine bado yamezingirwa na maji ,na wahanga hawa wameshaanza kuathirika na magonjwa ya mlipuko ikiwemo maralia tukizingatia kuwepo kwa mgomo wa madakitari hii ianweza kusababisha athari kubwa ikiwemo vifo.Hivyo tunaomba misaada husika ipelekwe kwa walengwa haraka iwezekanavyo. | (Not translated) | Hindura |